Wa Peke Yangu Lyrics – Jay Melody

Wa Peke Yangu Lyrics by Jay Melody is brand new Swahili song sung by Jay Melody and music of this brand new song is given by Adam Amiry Maingwa. Wa Peke Yangu song lyrics are penned down by Sharif Saidi Juma and video has been directed by Hanscana.

Wa Peke Yangu Song Lyrics By Jay Melody

GINI X66

Aaah Aah Aah
Jay Once Again

         

Vimacho Na Zake Lips, Kumpata Sio Rahisi
Yani Kweli Mungu Umenibariki, Mimi Umenibariki
Na Kabla Ya Hii Gift Ukatufanya Marafiki
Mpaka Sasa Penzi Liko Lite Motooo Kiukweliii

Yaani Kama Nimeokota Dodo Chini Ya Mpera
Nimeokota Dodo Na Siambiliki Hata Kidogo
Mwenzenu Mimi Nimeokota Dodo
Wa Pekeangu Huyu Wapekeangu Huyu
Wapekeangu Wa Pekeanguu
Jamani Wapekeangu Huyu
Wapekeangu Huyu
Wapekeangu Wa Pekeangu

         

Mapenzi Gani Haya Anayo Nipa
Mpaka Dam Nasikia Inavyo Pita
Kwenye Moyo Pia Kwenye Mishipaa
Au Tuseme Ndio Kasha Nishikaa

Yani Kama Nimeokota Dodo Chini Ya Mpera
Nimeokota Dodo Na Siambiliki Hata Kidogo
Mwenzenu Mimi Nimeokota Dodo
Wa Pekeangu Huyu Wa Pekeangu Huyu
Wa Pekeangu Wa Pekeanguu
Jamani Wa Pekeangu Huyu Wapekeangu Huyu
Wa Pekeangu Wa Pekeangu

         

Yaani Yupo Moyonii Navyo Muota Usingizini
Jamani Darling Yupo Moyonii Navyo Muota Usingizini
Wa Pekeangu Huyu Wapekeangu Huyu
Wa Pekeangu Wa Pekeangu
Jamani Wa Pekeangu Huyu Wa Pekeangu Huyu
Wa Pekeangu Wa Pekeangu

Credits

Song Name:Wa Peke Yangu
Artists:Jay Melody
Lead Vocals:Jay Melody
Written By:Sharif Saidi Juma
Music Produced By:Adam Amiry Maingwa
Release Date:May 20, 2024
Music Label:Jay Melody
Music Video Director:Hanscana

You Might Also Like –