Bado Song by JUX: “Bado” is a New Song, sung by JUX. Bado Song was written by JUX, and the music was produced by Bob Manecky.
Bado Lyrics By JUX
It’s Bob Manecky
Aaaaah Aaaaah
Nakumbuka Sura Yako
Nakumbuka Jina Lako
Nakumbuka Tabasam
Uzuri Wa Pendo Lako
Siwezi Kusahau
Ila Naulaumu Moyo (Mmmh)
Kukupenda Too Much
Ndo Kinachoniumiza
Si Unajua Mazoea
Yana Maumivu
Nimetupa Ndoano Aaah (La La La)
Nimeambulia Patupu (La La La)
Inaniumiza Bado
Ila Nitamove On Bado
Nitakusahau Baby Oo
Oooh
Homa Si Homa Baby (La La La)
Hata Nikilewa Pombe Hainiingi (La La La)
Naondoa Stress Bado
Ile Kikomando
Nami Nitapendwa Bado
Bado Badoo
Baby We! Nikipenda Mtu
Huwa Napenda Kweli, Na Nabaki Mtupu
Nasahau Mapenzi, Yanamaumivu
Ooh Siachi Tu
Baby We! Nikipenda Mtu
Huwa Napenda Kweli, Na Nabaki Mtupu
Nasahau Mapenzi, Yanamaumivu
Ooh Siachi Tu
Mmmmh! Yeaah!
Mapenzi Kama Maji (Babe)
Usipokunywa Utaoga
Usitukane Mamba
Hujavuka Mto, Jahazi Likazama
Baby Wewe
Chungu Kimoja (Aah Uh)
Wapishi Ni Wengi (Aah Uh)
Chakula Kikiiva
Kinaliwa Na Wengi
Baby Baby Baby
Nitapata Mwingine Aaah
Nimetupa Ndoano Aaah (La La La)
Nimeambulia Patupu (La La La)
Inaniumiza Bado
Ila Nitamove On Bado
Nitakusahau Baby Oo
Oooh
Homa Si Homa Baby (La La La)
Hata Nikilewa Pombe Hainiingi (La La La)
Naondoa Stress Bado
Ile Kikomando
Nami Nitapendwa Bado
Bado Badoo
Baby We! (Baby) Nikipenda Mtu (Nikipenda)
Huwa Napenda Kweli, Na Nabaki Mtupu (Eeeh)
Nasahau Mapenzi, Yanamaumivu
Ooh Siachi Tu (Siachi, Mmh Siachi Yee)
Baby We! (Ooh) Nikipenda Mtu (Ooooh Mama)
Huwa Napenda Kweli, Na Nabaki Mtupu
Nasahau Mapenzi, Yanamaumivu
Ooh Siachi Tu (Siachi, Siachi Yee)
Siachi
Siachi Tu
Mapenzi Siachi
Siachi
Siachi
Credits:
Song: | Bado |
Lead Vocals | JUX |
Written By: | JUX |
Music Produced By: | Bob Manecky |
Music Label: | JUX |
Featuring Artist: | JUX |
Release Date: |
March 22, 2024
|
You Might Also Like –
- GOOO – 6ix9ine
- They Wont Like This – Lauren Sanderson
- Legendary – Bon Jovi
- Settle For Less – ZHU & Sabrina Claudio
- Best For Me – Joyner Lucas ft. Jelly Roll