Wewe Hapo Lyrics – Lony Bway (feat. Marioo)

Wewe Hapo Song by Lony Bway: “Wewe Hapo” is a Brand New Song, sung by Lony Bway and Marioo. Wewe Hapo Song lyrics are penned by ​​Lony Bway and Marioo, and the music is produced by ​​Lony Bway and Marioo.

Lony Bway – Wewe Hapo Lyrics

Aaah
Mmmmmmh, Mmh
Lex Where You At (Lexvanny)

Mmh
Ah
Yes Roh Yangu Mii
Wewe Hapo
Waubavunii
Wewe Hapoo
Uunae Niwegea Mii Eeee
Wewe Hopo
Unae Nipatiaaaa
Wewe Hapoo

         

Ah
Naonaga Wenye Shepuu
Moja Moja Wakidondosha
Ila Siwatamanii
Mie We Unantoshaaa
Wanakujaga Wenye Vibundaa

Aah Wanaringishaa
Ila Siwatamanii
Aah We Unantishaa
Unapanda Beiibee
Wanashakukaa Beii
Oo Nanana
Waniwegaaa Beiii
Waniwegaaa Beiii
Waniwegaaa Beiii
Oo Nanana
Si Unajua Kipenzi
Yotee Hayo
Bila We Siweezii Iii
Sina Nyayoo
Kutembea Siwezi Aah
Hapo Hapo
Ndo Umeniwegezea
Ndo Umenibolea
Ndomana Nataka Ujue Mi
Roho Yangu

         

Wewe Hapo
Wa Ubavaniiii
Wewe Hapo
Unae Niwezea Mimi Iii
Wewe Hapo
Unanijuliaa Aah Aa
Wewe Hapo

Aaaaaaah Aah
Yeeee
Aah Stangi Tangii
Siendiii Popote
Mi Chambi Chambi
Sina Ila Usiondoke
Naa Stambi Tambii
Samaki Yake Maji Sio Topee
Mi Nshaweka Kambii
Kama Unakufa Wewe
Tafe Woteee

         

Si Unajua Mapenzi
Yotee Hayo
Bila We Siweezii Iii
Sina Nyayoo
Kutembea Siwezi Aa

Hapo Hapo
Ndo Umeniwezea
Ndo Umenikolea
You Wanna Give Me Suger Ee (Oowee)
Mabusu Kila Muda (Oowee)
Upendo Umezama Ndani Kwangu Sijielewei
Upo Kila Muda Wee (Oowee)
Sio Yuda We (Oowee)
Usaaliti Mi Sio Vitu Vyangu
Ooh Babe We

Nadomana Nataka Ujue Mi
Roho Yangu
Wewe Hapo
Wa Ubavuniii
Wewe Hapo
Unae Niwezea Mimi Iii
Wewe Hapo
Unaenijulia
Wewe Hapo
Weeweee Eeeh
Weee-we-we-we
Yarariiiiii
Weweweeeee
Weweeee

Dis Time For Lony Bway

Wewe Hapo Song Info

Song: Wewe Hapo
Band/Singer: Lony Bway & Marioo
Lead Vocals: Lony Bway & Marioo
Written By: Lony Bway & Marioo
Music Produced By: Lony Bway & Marioo
Music Label: Lony Bway
Featuring: Lony Bway & Marioo
Release Date:
August 30, 2023

LyricsWorldYou FAQs & Trivia

Who wrote the lyrics of the “Wewe Hapo” song?
​Lony Bway and Marioo have written the lyrics of “Wewe Hapo”.

Who is the singer of the “Wewe Hapo” song?
Lony Bway and Marioo have sung the song “Wewe Hapo”.

Who is the music producer of the “Wewe Hapo” song?
“Wewe Hapo” song music was produced by ​​​Lony Bway and Marioo.

When was the “Wewe Hapo” song released?
“Wewe Hapo” song was released on August 30, 2023.

Wewe Hapo Music Video