Suluhu Freestyle Lyrics – Ssaru

Suluhu Freestyle Song by Ssaru: “Suluhu Freestyle” is a Brand New Song, sung by Ssaru. ​Suluhu Freestyle Song lyrics are penned by ​​​​Ssaru, and the music was produced by ​​​Vinc On The Beat.

Ssaru – Suluhu Freestyle Lyrics

Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
Big Shout Out To Vinc On The Beat By The Way

Ah, Kuna Fununu Fununu Kadhaa Zimenifikia
Ndio Naskia Ati Kuna Vitu Flani Tunagombania
Mmeniita Nimeitikia Juu Papa Ashawatishia
Na Huyo Mama Nawaambia Mwacheni Nitawajibia
Mpeni Tissue Akilia, Muongeze Sidiria
Maana Kama Ananyonyesha Potimi Ashapapitia
Tuko Na Historia Alafu We Ni Dadangu Pia
Na Mi Ukweli Nitakuambia Siogopi Ukinichukia
Hii Si Kiki, Kweli Ngoma Zako Hufika Border Na Hazipiti
Mlinyang’anywa Title, Leta Hio Kiti
Tunabishana Vipi, Leta Ndume Sitaki Binti
Nenda Kajipodoe We Ni Yapa Na Huskiki
Ako Wapi Msodoki Na Mistari Anaeza Copy
Mwambie Akuje Na Dollar Maana Zenu Sio Noti
Yuko Wapi Young Lunya Anazeeka Na Anastunya
Kama Ananonoe Chooni Mwacheni Amalize Kunya
Ah, Kama Si Khali Basi Nani Ka Si Mimi
Hapa Aliwauliza Swali Mnashindwa Mtajibu Nini
Sasa Si Ndio Hatuogopangi, Hatujifichi Kwa Kichaka
Oh You Can Learn A Thing Si Kwenu Mko Na Darassa
Mlipewa Samia, Mkakosa Suluhu
So Tumewakalia, Watoto Wa Uhuru
Naeza Wapa Idea, Muifikishe Kwa Ikulu
But Kwanza Nawashuku, Nyi Hulipa Ushuru?

Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
The Beat Killer


Ah, Taka Usitake Si Ndio Tuko In Charge
Ndio Maana Mara Kwa Mara Tunakeep In Touch
Alafu Usijali If You Guys Lost Touch
Kwenye Game Mmepotea And I Did Research
Sijui Ni Kuzembea Au Tumewalemea
Na Sitaki Nionekane Na Kama Mi Nawaonea
Naskiza Diss Zenu Alafu Nazicompare
Nashindwa Ni Msanii Mgani Wa Huku Kwetu Nitawapea
Kaveve Kazoze, Huyo Ni Fire
Compared To Hizo Ngoma Zenu Nyi Huimba Za Kwaya
Wakadinali Ndio Watu Mna-require
Kubishana Na Wasanii Wakongwe Wame-retire
Yuko Wapi Rapcha, Attention Na-capture
Mziki Safari Ni Kama Gari Ilipata Puncture
Fid Q Nowhere To Be Seen In The Queue
Tuko Na Kiu Sisi Kama Mafans Na Tuko Few
Bill Nass Ashapoteza Nafas’
Anatupa Mbao Juu Ya Kitu Imekulishwa Nanas, Ah
Hio Ugonjwa Tunatibu Very Fast
And I Can Promise You That Am A Better Night Nurse, Ah
Bongo Lala Kama Kawa Huku Mmejaza Tu Machawa
Mwambieni Levo Baba Tukutane Mkahawa
Vutieni Kontawa Ju Kuna Dose Nagawa
Ka Ye Ndio Champion Basi Haikai Sawa

Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
Big Shout Out To Vinc On The Beat By The Way

Suluhu Freestyle Song Info

Song: Suluhu Freestyle
Band/Singer: Ssaru
Lead Vocals: Ssaru
Written By: Ssaru
Music Produced By: Vinc On The Beat
Music Label: Ssaru
Featuring Artist: Ssaru
Music Video Director: Steve Blackson
Release Date:
September 2, 2023

LyricsWorldYou FAQs & Trivia

Who wrote the lyrics of the “​Suluhu Freestyle” song?
​​​​Ssaru has written the lyrics of “Suluhu Freestyle”.

Who is the singer of the “​Suluhu Freestyle” song?
Ssaru has sung the song “Suluhu Freestyle”.

Who is the music producer of the “Suluhu Freestyle” song?
“Suluhu Freestyle” song music was produced by ​​​​Vinc On The Beat.


When was the “​Suluhu Freestyle” song released?
“Suluhu Freestyle” song was released on September 2, 2023.

Suluhu Freestyle Music Video