Sumu Lyrics by Alikiba: “Sumu” is a Brand New Song, sung by Alikiba and Marioo. Sumu Song lyrics are written by Alikiba and Marioo, with music produced by Alikiba and Marioo, and this brand-new music video was released on July 14, 2023.
Alikiba – Sumu Lyrics
Yeah!
Aloooohh!
Ababaah!
Sounds By Abbah
Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela
Sawa Unakula Bata
Kula Bata Ila Deni Langu Hunilipi Aah Uhmm
We Unakula Raha
Ni Nina Njaa Kale Kadeni Kangu Hunilipi Aaah
Aaah Aaah Kuna Kesho
Ujue Unaniburuga Yelelee
We Si Unanivuruga Sawa
Ujue Unaniconfuse Yelelee
Acha Tu Nile Bati Sawa
Sisi Sio Milima Tutakufana
Sisi Ni People Tutaonana
Si Sio Visima Tutasomana
Tukiwa Kama People Kitaumana Umana
Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela
Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Mi Ninachojua
Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Mi Ninachojua Pesa Karatasi
Mi Ninachojua Pesa Karatasi Eeh
Ni Maua
Wale Walosema Hutiboi Leo Wako Wapi
Walosema Hutoboi Leo Wako Wapi
Eeh Wapite Kule, Wapite Kule Kule Kule
Wapite Kule
Wale Walosema Hutiboi Leo Wako Wapi
Walosema Hutoboi Leo Wako Wapi
Eeh Wapite Kule, Wapite Kule Kule Kule
Wapite Kule
Sisi Sio Milima Tutakufana
Sisi Ni People Tutaonana
Si Sio Visima Tutasomana
Tukiwa Kama People Kitaumana Umana
Mke Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali
Mume Wa Mtu Tu Tu Tu Tu Sumu
Kwenye Jambo La Mtu Tu Tu Tu Tu Tu
Kaa Mbali Eeh Eeh
Eh Aah Aaaah Kuna Jela
Noma Sana
Aah Aaaah Kuna Jela
Written by: Alikiba & Marioo
Sumu Song Info:
Song: | Sumu |
Band/Singer: | Alikiba & Marioo |
Lead Vocals: | Alikiba & Marioo |
Lyrics: | Alikiba & Marioo |
Music: | Alikiba & Marioo |
Music Label: | Alikiba |
Featuring: | Alikiba & Marioo |
Release Date: | July 14, 2023 |
You Might Also Like
In da Club – 50 Cent
21 Questions – 50 Cent (feat. Nate Dogg)
Candy Shop – 50 Cent (feat. Olivia)
American Pie – Don McLean
What’s Up? – 4 Non Blondes
The Real Slim Shady – Eminem
Sunflower – Post Malone (feat. Swae Lee)
All Star (Astro Lounge) – Smash Mouth
All Too Well (10 Minute Version) – Taylor Swift
Sumu Music Video
LyricsWorldYou FAQs & Trivia
Who wrote the lyrics of the “Sumu” song?
Alikiba and Marioo have written the lyrics of “Sumu”.
Who is the singer of the “Sumu” song?
Alikiba and Marioo have sung the song “Sumu”.
Who is the music producer of the “Sumu” song?
“Sumu” song music was produced by Alikiba and Marioo.
When was the”Sumu” song released?
“Sumu” song was released on July 14, 2023.