Enjoy Lyrics – Jux (feat. Diamond Platnumz)

         

Enjoy Lyrics by Jux: “‎Enjoy” is a Brand New Song, sung by Jux and Diamond Platnumz. Enjoy Song lyrics are written by Juma Mussa Mkambala, Nasibu Abdul, RAYMOND MAZIKU, and Salmin Kasimu Maengo, with music produced by ​Chris Rehn and Robert Pettersson, and this brand-new music video was released on July 13, 2023.

Jux – Enjoy Lyrics

S2kizzy Baby !!

Hii Leo,
Acha Tu Niwaweke Wazi..
Mubaki Na Mishangao,
Kuhusu Haya Mapenzi..
Nataka Kuyaeleza..

Na Leo,
Tena Wahiteni Paparazi..
Warushe Kwa Mitandao,
Siyataki Mapenzi..
Nataka Jipongeza..

Unaemwita Your Baby,
Kumbe Nae Ana Baby..
Ooh Unaemwona Kipenzi,
Ni Mshenzi Hakupendi..

Ama Kweli Mtihani,
Mambo Mengi Duniani..
Na Mi Stress Siwezi,
Ooooh Siwezi..
Aahh !!

Bora Ni Enjoy, (Mmmmmh)
Maisha Mafupi Ni Simple
Yanini Niteseke Roho,
Jiunge Nami Upoze Koo..

Bora Ni Enjoy,
Maisha Mafupi Ni Simple
Yanini Niteseke Roho, (Ooh Yanini Yanini)
Jiunge Nami Upoze Koo.. (Mmmh, Khoo Khoo Khoo Khoo)

Kama Kupendaaa,
Bora Nimpende Mama Yangu.. (Mmmh)
Kama Kupendwaa Mimi Iih,
Nitajipenda Peke Yangu.. (Ooooh)

Kilichoniponza Ufala,
Kujiona Simba Kumbe Swala..
Nikazama Kwenye Penzi Uchwala,
Badala Ya Kusaka Miamala..
Aiii Yooooooo Oh

Toka Ni Date Pesa, (Enhee)
Sa Napendeza.. (Enhee)
Na Tena Naenjoy, (Enhee)
Na Wanangu Ma Homeboy.. (Enhee)

Ooooh Account Inasoma, (Enhee)
Na Kamwili Kananona.. (Enhee)
We Mwenyewe Si Unaona Yani, (Enhee)
Ai Nasema Boraaaa..

Bora Ni Enjoy, (Piri Pi Pi Pi Pi Pi Pi)
Maisha Mafupi Ni Simple.. (Kirii Ka Dakitka)
Yanini Niteseke Roho, (Yanini Niteseke Rohoo)
Jiunge Nami Upoze Koo.. (Jiunge Na Mimi Ah)

Bora Ni Enjoy, (Piri Pi Pi Pi Pi Pi Pi)
Maisha Mafupi Ni Simple.. (Kirii Ka Dakitka)
Yanini Niteseke Roho, (Aaahh Iyeeeeiiii Ye)
Jiunge Nami Upoze Koo.. (Jiunge Na Mimi Ah)

Napenda Nikilewa,
Nipande Juu Ya Meza..
Minjonjo,
Huku Natema Kiingereza..

Tupande Juu Ya Meza,
Tupande Juu Ya Meza,
Tupande Juu Ya Meza,
Za Za Za Za Za..

Bora Ni Enjoy, (Piri Pi Pi Pi Pi Pi Pi)
Maisha Mafupi Ni Simple.. (Kirii Ka Dakitka)
Yanini Niteseke Roho, (Ooh Yanini Yanini)
Jiunge Nami Upoze Koo.. (Ooh Khoo Khoo Khoo Khoo)

Written by: ​Juma Mussa Mkambala, Nasibu Abdul, RAYMOND MAZIKU & Salmin Kasimu Maengo

Enjoy Song Info:

Song: Enjoy
Band/Singer: Jux & Diamond Platnumz
Lead Vocals: Jux & Diamond Platnumz
Lyrics: Juma Mussa Mkambala, Nasibu Abdul, RAYMOND MAZIKU & Salmin Kasimu Maengo
Music: S2kizzy
Music Label: Napalm Records
Featuring: Jux & Diamond Platnumz
Release Date: July 13, 2023

You Might Also Like

In da Club – 50 Cent
21 Questions – 50 Cent (feat. Nate Dogg)
Candy Shop – 50 Cent (feat. Olivia)
American Pie – Don McLean
What’s Up? – 4 Non Blondes
The Real Slim Shady – Eminem
Sunflower – Post Malone (feat. Swae Lee)
All Star (Astro Lounge) – Smash Mouth
All Too Well (10 Minute Version) – Taylor Swift

Enjoy Music Video

LyricsWorldYou FAQs & Trivia

Who wrote the lyrics of the “Enjoy” song?
Juma Mussa Mkambala, Nasibu Abdul, RAYMOND MAZIKU, and Salmin Kasimu Maengo have written the lyrics of “Enjoy”.

Who is the singer of the “Enjoy” song?
Jux and Diamond Platnumz have sung the song “Enjoy”.

Who is the music producer of the “Enjoy” song?
“Enjoy” song music was produced by ​S2kizzy.

When was the”Enjoy” song released?
“Enjoy” song was released on July 13, 2023.